kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,564
- 6,848
Ukijiunga kwa tsh 500 wanakupa 500mb na 100mb zakutumia usiku. Hapo ndio sielewi usiku wa saa ngapi na wala huwezi angalia salio. Nimejiunga saa 5 usiku, naangalia salio wanaanza kukata kwenye 500mb. Hizo 100mb zinatumika muda gani au ndio wanatuibia?