Ni kweli Tanzania kuna hali ngumu ya kifedha?

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,535
Kama title inavyosomeka wadau nisipoteze muda nijikite moja kwa moja kwenye swali na ukizingatia nimerudi nchini tu hivi punde.

Swali: Nasikia watu wakilalamika hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa hapa nchini je ni kweli?

Natarajia majibu mujarabu haswa ukizingatia mwezi wa ramadhani huu nitarudi nikasha futuru
 
Karibu Mkuu. Vipi uliopokuwa huko Ulaya / Ng'ambo umeshasukuma Kuta ngapi za kueleweka mpaka hivi sasa umerudi?
 
Mkuu nilikuwa nchini kwako Burundi mkimbia kwao mtumwa
By the way ndugu zako wanalalamika umetorokea kwenye makambi ya wakimbizi nyarugusu hujaonekana tena
 
Ni kweli mkuu. Huku nyumbani hali ni ngumu sana. Kama una mpango wa kurudi kwa sasa sikushauri. Endelea kubeba box mpaka huyu mzee aondoke... Ukirudi now utafulia. Hata ukija na mtaji wako wa milioni hamsini ufanye biashara, mda si muda mtaji utakata...
 
Back
Top Bottom