ABAANADYA
Member
- Apr 30, 2017
- 36
- 7
[HASHTAG]#MADINI[/HASHTAG] Na UMEME
nitafupisha nukta chache sana kuhusu umeme ktk KHILAFAH
1. Aina zote za nguvu za moto zenye kutumiwa na jamii au mambo yanayo husika na nguvu hizo ni marufuku kubinafsishiwa mtu binafsi au shirika ikiwemo umeme gesi visima vya mafuta maporomoko ya maji mabwawa au mitambo mikubwa
2..Mali hii ni ya umma na sio hata ya serikali ama serikali kazi yake ni usimamizi tu
3. Umma watatumia bure na kama zikihitajika gharama za uendesheji serikali italipia gharama hizo au umma wenyewe wataweka mtu atakaye fanya tathimini ya gharama za uendeshaji na ndizo umma watakazo lipia pasina kuingiza mawazo ya faida
4. Haitokuwa siri mipango uendeshaji na gharama zinazo hitajika
5. Umma unaweza kuuza nje na pesa hizo wakazitumia kwa kuendeshea mradi wao huo
6. Ikitokea faida kuzidi watagaiwa umma kwa njia munasaba muafaka na yenye tija
[HASHTAG]#democrassia[/HASHTAG] ni zaidi ya jambazi , mali ya umma hukabidhiwa mtu binafsi au katili kutoka mbali kwa jina la kampuni na watu kuwa watumwa
[HASHTAG]#uwekezaji[/HASHTAG] ubinafsishishaji ni [HASHTAG]#ujambazi[/HASHTAG] uliopewa majina mazuri
na si umeme tu bali mito mbuga za wanyama barabara mapori migodi na madini nk vyote hivyo kwenye KHILAFAH vimefafanua na hata kesi ya makonyena ya mchanga isingekuwepo kabisa. Huo n mchanga je,Madini yako wapi?
---KHILAFAH MKOMBOZI WA UMMAH TUNAKUSUBIRI