Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

Kuna mji flani kule Tanga uko Kilimani kabisa. Nadhani ni Lushoto. Nilipokuwa napita na Ndege kwenda Nairobi niliuona from above ila sikujua ni mji gani?

Bila Shaka nafikiri wanaongelea jeographia.
Tanga ni kama Dar,Mtwara,lindi Bagamoyo

ni miji iliyo chini zaidi kuelekea usawa wa bahari hii jog ya shule ya Msingi sijui nimepatia mkuu
 
Bila Shaka nafikiri wanaongelea jeographia.
Tanga ni kama Dar,Mtwara,lindi Bagamoyo

ni miji iliyo chini zaidi kuelekea usawa wa bahari hii jog ya shule ya Msingi sijui nimepatia mkuu
Nadhani hajamuelewa vyema mleta maada amemaanisha nini
 
Back
Top Bottom