chanzo cha taarifa?Habari wanaJF,
Nimepata taarifa kuwa Mzee Hamis Chifupa, baba wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Amina Chifupa amefariki dunia.
Apumzike kwa Amani.
Pumzika kwa amani Mzee Chifupa
RIP Mzee Chifupa
Kila nafsi itaonja umauti.It was written