Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamishna wa polisi Dar Simon Sirro amesema wamekamata watu 4 ambao ni wafanyakazi wa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala kwa kupasua maiti ya raia wa Ghana aliyekutwa amefariki tarehe 14/3/17...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Amani kwenu na jumapili njema. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo. Najiuliza hili swali kila siku mwisho nimeona nililete tu hapa. Tunapozungumzia rushwa kila mtu anakibali kuwa ni mbaya...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Nilikuwa katika kupata huduma za hospitali hii pendwa jijini. Yanayotendeka sijui kama wahusika wakuu wanaelewa hilo. Wakati huu ambao ajira ni shida ni maajabu kumkuta daktari anafanya hovyo...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeishauri serikali kujenga kinu cha kusafishia mchanga wa dhahabu hapa nchini, huku ikifanya marekebisho ya sheria ya madini, ili kuondoa mianya ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
uislamu unapinga muziki je Qaswida nini au Ni aina gani ya muziki ambao wanaupinga na kuita haramu
5 Reactions
85 Replies
33K Views
Salaam wanaJF. Ugumu wa maisha hupelekea kufanya kila linalowezekana (ukiacha kuua) ili mkono uingie kinywani. Na sasa kuna hawa wataalamu wetu a.k.a waganga wa kienyeji ambao wao wamejaaliwa...
7 Reactions
76 Replies
15K Views
Habar za asubuhi, mwenye nini kitaendelea kwa Gwajima atujulishe ili tukae mkao
0 Reactions
10 Replies
2K Views
-Nani mkweli kati ya tume ya rais na wahusika? -Je ni mtambo gani ulitumika kugundua kiwango cha madini yaliyomo kwenye makontena? - Je huo mtambo tunao ama ulikodishwa? -Kama ulikodishwa ni...
27 Reactions
164 Replies
15K Views
Hatimae kesho mkuu wa mkoa wa dar mh Daudi bashite atakuwa tbc kuzungumzia maendeleo ya mkoa wa dar. Huu ndio usaliti au hawa TBC hawahusiki na mgomo wa kutojihusisha na lolote la bashite??
1 Reactions
88 Replies
10K Views
Hapa ndio penye siri ya dhana ya kifo kwenye mwili uharibikao. Kwa imani za Mungu mmoja, binadamu aliumbwa toka mavumbini...aliumbwa kinyago mpaka pale alipopuliziwa pumzi ya uhai/kuwekewa roho...
24 Reactions
53 Replies
13K Views
Ndugu zangu habari zenu najua kwa sasa Hali ni tete....Ila hoja yangu ni tofauti na yanayo endelea ktk social network.Nampango wa kuumia Namibia so mwenyewe information zozote kuhusu maisha ya...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jamani mie nadhani hili tatizo la magonjwa ya akili limekua ignored,how come mmoja kati ya wanne wana matatizo ya akili,halafu hospitali zenye kutibu haya magonjwa ni chache? yaani leo tembea...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya Tanroads kuweka X nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara ya Morogoro kuanzia Kimara Stop over baadhi ya watu wenye akili na waelewa wameanza kuondoka ili kupisha upanuzi wa barabara...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wale wote wanaotetea Beting kama BIASHARA HALALI, nasema siyo. Na haijalishi kama serikali imeruhusu au la, swala ni kwamba hii siyo biashara halali kwa sababu zifuatazo; 1. Hakuna thamani...
13 Reactions
89 Replies
13K Views
Redio ya mwanzo kabisa kuchambua habari za magazeti ni Redio free Africa ya Mwanza kila siku alfajiri saa 12:30 Na Redio free Africa imekuwa ikisoma taarifa hizo kwa umakini sana kwa ufupi kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii picha ilikuwa mwaka gani vile
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MKAZI wa Kitongoji Magwila Kata ya Bwilingu Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Fatuma Ramadhani (32), anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujifungua kitoto jinsia...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Kuhusu suala hili la madini. Tatizo kubwa katika sekta ya madini ni sheria. Kama ni kweli Raisi ana njia njema katika kuwachukulia wahusika wote angeanza wahusika hawa. Wanasheria wote waliowahi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…