Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mara nyingine tena Rais Magufuri amemteua kamanda siro kuwa mkuu wa Jeshi la polisi Tanzania (IGP) na kuchukua nafasi ya aliyekuwa IGP Ernest Mangu ambaye Ikulu imesema atapangiwa kazi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na huu mjadala mitandaoni ya kwamba katika bara la Africa, nchi zinazoongoza kuwa na best IT Professionals ni Kenya, Nigeria na Senegal ndio wanaotisha katika...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Je? hii ni kweli? au ni bahati mbaya? Ni hatari kubwa kiasi gani kwa Taifa kuwa na watu wasanii,wajanja wajanja wenye kupenya mpaka kufika ngazi za juu bila hata ya wahusika kushtuka? Hivi kama...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mbona hawa Mabalozi wanatembelea wizara hii tu???...... Mpaka balozi wa Marekani alinasa ndani ya Lift... Mbona hawatembelei wizara ya Utamaduni? Au wizara ya Elimu???
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John P. Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Shukuru alikuwa...
3 Reactions
54 Replies
11K Views
Kuna taarifa zimeenea sana jioni hii kuwa Askofu Gwajima atakuwa na kikao na Bashite.....Gwajima amekanusha vikali na kusema hawezi kununuliwa hats iweje Source: ukurasa wake
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wakuu, Naomba mnisaidie details za JKT Mlale as ipo direction ipi kutokea Songea Mjini, KM ngapi na gharama zake mpka kufika kule!? Na details zozote ambazo zitakuwa ni za muhimu kuhusu...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wakuu... Ni hivi mimi nipo kwenye kundi la watumiaji wadogo wa umeme. Tatizo kuna baadhi wameniambia kuwa sitakiwi kununua umeme zaidi ya mara moja kwa mwezi, hapa nilipo umeme unaelekea...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nasikia kunya ni starehe sana hata kingwedu anajua
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na madhara ya kutumia cotton buds kwamba huchangia kuziba masikio badala ya kuzibua, kutokana na vile unaposukuma wakati wa kusafisha uchafu huzama zaidi ndani, je ni njia gani salama...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Swala la familia nzima kuwa facebook siyo kitu cha kiungwana kabisa. Utakuta unamuona mzee au bi mkubwa online. Aibu sana. Kuna kitabia cha watu fulani kutag kwa picha ,videos za hovyo sana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi wakuu naomba kueleweshwa nchini kenya unga ni 140ksh kama 200ksh for 2kg kabla ya kushushwa na kuwa 90ksh 1800 tsh. Sasa swali langu nauliza wa kenya kelele ya nni sisi bongo tunanua...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nashidwa kabisa kuelewa uzaleo wa hawa watu ambao ukiangalia vizuri post zao kama vile wanafurahia unyonyaji uliokuwepo wa madini nchini Kweli tunashindwa hata kwa siku moja tukasimama kama...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Majibu ya kwanza kwanza ya nyuzi mbalimbali za humu Lazima utoke mbavu kwa kucheka, ukiwa na hasira unaweza piga mtu kwa utakalojibiwa
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wana zaidi ya vituo 20 hadi sasa. Kuna vituo vina pande mbili ambazo watu wanaingilia na vingine upande mmoja. Na kila upande una sehemu mbili za ku-swap card au tiketi. Mahesabu ya haraka: Kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
"please avoid giving details about what you are "planning" or "thinking" about, without taking adequate measures to protect it in the professional manner. Don't send or publish business plans to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano aliunda aliunda tume ya kuchunguza mchanga unaosafirishwa na ilibaini kuna upotevu wa kiasi kikubwa cha fedha kwa mwezi ni bilioni 829.4 x 12 x miaka 18= zaidi ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…