Picha : Basi la Chakito lapata ajali Korogwe.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,404
24,988
---
f8d852567e4373d9b064a8880ee84f59.jpg
b5eb323a4a0664024a87398deb16e47a.jpg
 
kuna aliyefariki?
kwenye taarifa kama hizi jitahidi kuwa na weledi kidogo kwa unachokitoa maana unazungumzia kufa na kupona kwa nafsi za watu...
 
Kwani kila ajali lazima watu wafe mkuu? Hebu acheni hizo mambo asee
 
Dah namshkuru Mungu ndugu zangu,walikuwamo katika ajali hiyo wamenusurika mmoja kapata majeraha kidogo lakin kapatiw huduma hapo korogwe hospital na saiv yupo vzur anaendlea,lakin ndugu yang m1 katika ajali amepotelewa na begi lake la nguo pamoja na simu,sijui vimepotea vp? ila jambo jema nadhani hakuna vifo vimeripotiwa kutokea.
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kama hamna aliyekufa nguo zitanunuliwa tena kikubwa yuko hai
 
Dah namshkuru Mungu ndugu zangu,walikuwamo katika ajali hiyo wamenusurika mmoja kapata majeraha kidogo lakin kapatiw huduma hapo korogwe hospital na saiv yupo vzur anaendlea,lakin ndugu yang m1 katika ajali amepotelewa na begi lake la nguo pamoja na simu,sijui vimepotea vp? ila jambo jema nadhani hakuna vifo vimeripotiwa kutokea.
Pole sana mkuuu Mungu ni mwema
 
Pole sana, vijana wa Kizigua hapo Kwakombo watakuwa wameiba hilo begi na simu.
 
Back
Top Bottom