Naomba maelekezo ya kufika JKT-Mlale

mbwigaa

Senior Member
Mar 3, 2017
103
72
Habari wakuu,

Naomba mnisaidie details za JKT Mlale as ipo direction ipi kutokea Songea Mjini, KM ngapi na gharama zake mpka kufika kule!?

Na details zozote ambazo zitakuwa ni za muhimu kuhusu kambi tajwa.
 
Ukiwa dar utapanda magari ya songea mjini,itakubidi ulale maake utafika jioni sana,kesho yake utapanda magari ya mlale jkt nauli sh 3000.
 
kama alivyosema mjumbe hapa kwa kuongezea tu . nauli ya dar songea ni 46000. option two unaweza panda bus la dar mbinga ukashukia matomondo . ukachukua boda hadi mlale kwa buku tano. pale matomondo bus inapita saa tatu usiku.
 
Back
Top Bottom