Kutokana na madhara ya kutumia cotton buds kwamba huchangia kuziba masikio badala ya kuzibua, kutokana na vile unaposukuma wakati wa kusafisha uchafu huzama zaidi ndani, je ni njia gani salama nyingine ya kuondoa uchafu masikioni tofauti na hii ya kutumia cotton buds!