Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,326
Wewe wasiwasi wako nini?Acha tume iundwe kuchunguza ili ukweli ujulikane!Wanayumba. Wanajichanganya. Wanaingilia taaluma za watu. Polisi ibaki imara na wasiyumbishwe
Hata kama shule ndogo lakini madai yao ni ya msingi.Tamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Kwani wameambiwa wawasilishe vyeti ili vihakikiwe?Tamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo zaidi, funguka, fikiri nnje ya boxTamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Haki haipo hivyo unavyo fikir hata kama elimu yao ndogo acha watafute haki yao kwa hicho hicho kidogo walicho nachoTamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Shule ndogo inaungia vp hapo. Wao wametoa malalamiko yao km raia. Ni jukumu la jopo la watu wenye fani hizo kuchunguza tukio hilo. Ss unataka wananchi wote wawe ni wajuzi wa fani ya uchunguzi? Nawezi hisi ww umetoka mkoa gani.Tamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Siku ndugu yako akiuawa na police kwa kusingiziwa kosa, akili zitakusogelea tu kwa sasa bado na una haki ya kusema hayo!! Ulioyasema hapo juu!Wanayumba. Wanajichanganya. Wanaingilia taaluma za watu. Polisi ibaki imara na wasiyumbishwe
umekurupuka kujibu bila kusikiliza walichoongea. Nakuomba usikilize hiyo clip kisha urudi hapa na ni vyema utumie nafasi yako kulisaidia taifaTamko linaonyesha shule yao ndogo,wanashindwa kujenga hoja na kusimamia mada moja!
Akiuwawa tunazikaSiku ndugu yako akiuawa na police kwa kusingiziwa kosa, akili zitakusogelea tu kwa sasa bado na una haki ya kusema hayo!! Ulioyasema hapo juu!