nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,726
- 12,005
Je? hii ni kweli? au ni bahati mbaya?
Ni hatari kubwa kiasi gani kwa Taifa kuwa na watu wasanii,wajanja wajanja wenye kupenya mpaka kufika ngazi za juu bila hata ya wahusika kushtuka?
Hivi kama Daudi angekuwa kimya ni lini tungejua haya? na je? ni watu wangapi na wengine si raia wa Tz wapo katika nyadhifa nyeti serikalini?
Hivi wahusika wa kitengo cha veting ni akina nani hasa? wako wapi?