Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,485
Wana zaidi ya vituo 20 hadi sasa. Kuna vituo vina pande mbili ambazo watu wanaingilia na vingine upande mmoja. Na kila upande una sehemu mbili za ku-swap card au tiketi.
Mahesabu ya haraka: Kwa vituo vyote zaidi ya 20 vina uhakika wa kupitisha wastani wa watu 10 kila sekunde kwa pamoja (ceteris paribus). Na kila tiketi ina thamani ya Tsh. 650. Kwahiyo, 650*10=6500.
Hivyo basi, kwa siku wanaingiza 60sekunde*60dakika*18 masaa wanayofanya kazi*6500 Tshs= Nipe jibu.
NB: Huu ni mtazamo binafsi.