Bishop Gwajima akanusha taarifa za Bashite

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Kuna taarifa zimeenea sana jioni hii kuwa Askofu Gwajima atakuwa na kikao na Bashite.....Gwajima amekanusha vikali na kusema hawezi kununuliwa hats iweje
b7ae896a37f98acea6b99fe397433675.jpg
67ca3820ca7aa642399fe6702f309eb2.jpg

Source: ukurasa wake
 
Uyu jamaa ana mdomo sana angekua Russia watu washsmtungua zaman na maisha yanaendelea,..
 
..."kwigwa kwa mbulu... mininga mu matuh!" Yetu macho na masikio
 
Uyu jamaa ana mdomo sana angekua Russia watu washsmtungua zaman na maisha yanaendelea,..
hahahaha, umenichekesha. ila hapa bondeni kwa madiba au kwa akina mudavadi pale kwa wakikuyu a.k.a wachaga wa Kenya wasingemchelewesha
 
Kuna taarifa zimeenea sana jioni hii kuwa Askofu Gwajima atakuwa na kikao na Bashite.....Gwajima amekanusha vikali na kusema hawezi kununuliwa hats iweje
b7ae896a37f98acea6b99fe397433675.jpg
67ca3820ca7aa642399fe6702f309eb2.jpg

Source: ukurasa wake
Anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe. Nashukuru kuna watu walikuwa hawajamuelewa sasa wameanza kuelewa na tuko nao hapa hapa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom