(Picha) Balozi wa Uingereza atembelea Wizara ya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(Picha) Balozi wa Uingereza atembelea Wizara ya Nishati na Madini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Jun 9, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  balozi.jpg

  Mbona hawa Mabalozi wanatembelea wizara hii tu???...... Mpaka balozi wa Marekani alinasa ndani ya Lift...

  Mbona hawatembelei wizara ya Utamaduni?

  Au wizara ya Elimu???
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,656
  Likes Received: 901
  Trophy Points: 280
  Kamata hao wezi mbona hawataki kutembelea ya afya au elimu au tuunganishe ya madini na afya ili wakija tuwaambie tatizo letu ni afya na siyo madini Pambaf
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tuna potential kwenye vyanzo vya nishati gesi mafuta achilia mbali madini.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Wanataka kujua uhakika wa umeme, wamechoka kelele za majenereta majumbani mwao.............
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  SWALI ZURI SANA

  wanatafuta madili kwa wafanyabiashara wao

  ukiwapeleka wizara ya utamaduni watauza ngoma??
   
 6. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wanataka kujua kama waziri mpya wa madini analinda maslahi yao kama ngereja ama vp
   
 7. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,834
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  mabalozi ni majambazi wakubwa hao foolish
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  • :clap2:
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,475
  Likes Received: 9,861
  Trophy Points: 280
  Anabahati kakuta lifti inafanya kazi
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,104
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Uk ni nchi tajiri duniani na export ya product zao ni ndogo sana ukilinganisha na utajiri wao.
  Utajiri wao ni madini,dhahabu.Wana dhahabu nyingi sana ambayo wana trade kila siku chini
  ya bank of England.
  Sasa jiulize dhahabu wana pata wapi?
  Zamani walikuwa na dhahabu inayo inaitwa white gold ilikuwa inapatika wales.
  Hii inajieleza hivi " zamani tulikuwa hatuna dini,wakaja wazungu wakatuambia tufunge macho tusali,tukafunga tulipo fungua macho tukaona wame ondoka na madini yetu na wametuachia dini"
   
 11. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  • :clap2:

   
 12. B

  BINARY NO JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,576
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Wanaendeleza permanent interest zao kwa kua lobby maofisa hasa hawa mawaziri wapya tujiulize hivi kazi za mabalozi ni zipi? inakuaje balozi afanye kazi ambazo angefanya RAIS, makamu au PM? kuna utafutaji wa mafuta ambao makampuni ua Uingereza ndo yanatafuta,kuuna migodi kadhaa ambayo wanaishikilia achilia dili zao za gas...Lazima TANZANIA ishtuke na hawa wezi ivi ni kwanini kila mara utawaona mabalozi wa Marekani na UK ndo wanatembelea ikulu kwani mabalozi ni hao tu apa TZ? Waziri mpya lazima achukue hatua na gas yetu inayobebwa kila siku na hawa wazungu wezi
   
Loading...