Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,583
Swala la familia nzima kuwa facebook siyo kitu cha kiungwana kabisa. Utakuta unamuona mzee au bi mkubwa online. Aibu sana.
Kuna kitabia cha watu fulani kutag kwa picha ,videos za hovyo sana. Unashangaa tu kuna mtu amemtag mzee wako. Au post fulani imewekwa, mzee kaLIKE fasta. Dah.