gustavoo
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 119
- 138
Nashidwa kabisa kuelewa uzaleo wa hawa watu ambao ukiangalia vizuri post zao kama vile wanafurahia unyonyaji uliokuwepo wa madini nchini
Kweli tunashindwa hata kwa siku moja tukasimama kama watanzania tukatetea Tanzania hata bila kuweka itikadi or utofautiwetu wa kisiasa or utofauti wowote ule?
Hata kama uchunguzi ulikuwa na dosari au mapungu haiingii akilini mtanzania kufurahia kwamba ACACIA washinde waendelee kutunyonya.