N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,390
- 10,857
"please avoid giving details about what you are "planning" or "thinking" about, without taking adequate measures to protect it in the professional manner. Don't send or publish business plans to people.
It is like leaving your wallet on a counter in a bar!"
"Tafadhali epuka kutoa maelezo ya kile unachokipanga au fikiria bila kuchukua hatua za kiweledi kuyalinda hayo mawazo au mipango, usiweke hadharani mipango ya shughuli/kazi zako kwa umma,kwani kufanya hivyo ni kama kuiacha pochi ya fedha katika meza ya mhudumu wa genge"_Strive Masiyiwa.
MASIYIWA NI NANI
Kwa ufupi huyu jamaa ni Media Mogul anaekuja kwa kasi ya ajabu Afrika...Tayari ana vituo vya runinga visivyopungua 18 Afrika ikiwemo Tanzania (IliyokuwaTv1) anaichukua sasa itakuwa KFS (Kwese Free Sports).
Ni raia wa Zimbabwe anaeishi London.
Mshikaji yuko humble sana nasikia na anatamani kuona Afrika inakua,ushahidi upo katika maandiko yake ya ushauri wa business/entrepreneurship kule Facebook (go & check).
Ana group of companies chini ya Mwamvuli wa Econet
Kwa hapa bongo ana vifurushi vya kutazama runinga online kwa bei chee kwenye mtandao pendwa (sitautaja).
JAPO KWA UFUPI kirefu Strive Masiyiwa - Wikipedia