Kwahyo Ndugu zetu wa kuanzia kibamba mpka chalinze tusahau hii huduma ya Dar express
Kwahyo Ndugu zetu wa kuanzia kibamba mpka chalinze tusahau hii huduma ya Dar express
Tunaizungumzia saa 11 alfajir je kuna uwezekano wa kwenda tegeta?Sasa hivi kutoka Kibamba mpaka Tegeta ni karibu zaidi kuliko kwenda Ubungo.
Dah sio mbaya bye bye Dar expressWapande Ngorika, Buffalo, Meridian, Osaka
Tunaizungumzia saa 11 alfajir je kuna uwezekano wa kwenda tegeta?
Okey mkuu asante kwa ufafanuziUpo. Unashuka mwendo kasi unapanda daladala ya mapaka Nyuki
Okey mkuu asante kwa ufafanuzi
Chalinze watapata huduma ni karibu na mzani yanapotokea.Kwahyo Ndugu zetu wa kuanzia kibamba mpka chalinze tusahau hii huduma ya Dar express