Wadau nisaidieni.watumishi wa serikali tunaambiwa majina yetu ya ajira lazima yafanane sawa na ya benki katika kupokea mshahara.sasa kama majina ya ajira ni john momi Loti,lakini kwa taratibu za benki walikuwa wanataka uanze na jina la ubini,hivyo ni Loti, john momi.he kuna haja ya kubadili benki ili kuanza na john?