Kuchimba kisima kipindi cha mvua

BUFALO

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
300
272
Habari ya asubuhi. Naombeni ushauri kuna uhusiano wowote juu ya uchimbaji wa kisima kwa kutumia machine na msimu wa mvua?

Kwa wataalamu wa miamba na wenye uzoefu wa hili swala naomba mnisaidie kunipa elimu
 
Mimi si mtaalamu sana wa uchimbaji lkn kipindi cha kuchimba visima ni kiangazi coz unajua wapi maji yakikauka ardhini utayapata upande gani. Kipindi cha mvua hata chemchem ujue zinatoa maji sasa utachimba wapi ndg yangu? Tafakari,.. mugonile leeeleo mweeh
 
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom