Katiba itoe ulinzi katika ubunifu - Mpangala

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,147
14,699
Nathan-Mpangala.jpg
28 and 29 machi 2015 copy.jpg

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF), Nathan Mpangala amesema umefika wakati sasa Katiba kutoa ulinzi kwenye kazi za ubunifu.

Mpangala alikuwa akizungumza kuhusu warsha ya siku tatu ya wachora vibonzo, alisema mfumo wa sanaa umekuwa na changamoto nyingi na kuongeza kuwa, maisha ya mzee aliyeaminika kuwa mchoraji wa Nembo ya Taifa, Fransis Kanyasu (sasa ni marehemu) ni kiashiria cha kuwapo changamoto nyingi katika mfumo wa sanaa.

Taasisi yake ya NMF inatarajia kuendesha warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wachora vibonzo chipukizi ili kuendana na mabadiliko ya tekinolojia na Warsha hiyo itafanyika Juni 7 hadi 9 jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Nafasi Art Space...
 
Back
Top Bottom