COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Mtu ambaye moyo wake umejaa mawazo ya matusi, siku zote atakuwa anaropoka matusi tu.
Moyo ukijaa mawazo ya uzinzi siku zote utakuwa unaongelea uzinzi tu.
Moyo ukijaa ushetani wa tafsiri mbaya, basi wewe siku zote domo lako litakuwa linatoa tafsiri mbaya kwa kila neno unalolisoma au kulisikia.
Watanzania tumrudie MUNGU na tubadilike.