Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,657
- 729,756
Mwaka uliopita tarehe kama ya jana tr 1 June 2016 ndio ilikiwa siku rasmi ya kuzima simu bandia
Kwa siku hiyo ya kwanza zilizimwa simu baadhi na kupelekea vilio kwa wamiliki wake
Hata hivyo zoezi hilo lililoitwa endelevu lilitawaliwa na mkanganyiko mkubwa huku simu nyingi zilizozimwa zikifanyiwa maarifa kwa mafundi na kutumika tena
Tunapoadhimisha mwaka mmoja wa zoezi hili tujiulize je tulimakinika kiasi gani kwenye hili?