kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Hivi kweli makampuni ya simu yanashindwaje kuweka kifurushi labda cha week au cha mwezi kwa ajili ya apps za channel?
mfano simu tv wakubaliane may be na voda ukitaka kuangalia uwe unalipia kifurushi cha kuangalia ambacho huna haja ya kuwa.na mb zako ukishalipia mambo yanakua poa