Huyu Ally Awadhi ni nani Tanzania?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,419
On a crisp late May afternoon in Dar es Salaam Ally Awadh, one of Tanzania’s most prominent businessmen, is waxing lyrical about a deal he has just concluded. Recently, the Competition Authority of Kenya gave his company, Lake Oil Group, the go-ahead to acquire all the fuel service stations of Hashi Energy, one of Kenya’s largest independent oil companies. “It’s a first step for us in our pursuit of regional domination,” says the 36-year-old mogul in lightly accented but supple english. “Once you conquer Kenya as a foreign company, then you shouldn’t really have much of a problem prospering in other East African countries.”

Dressed in a black T-shirt, jeans and handmade black loafers, Awadh’s look may be unpretentious. His ambitions are anything but. In less than a decade the young founder and CEO of Lake Oil Group has built his company into a $1 billion (revenues) integrated energy solutions provider, and he's not resting just yet.
 
a-bicubic1-201x300.jpg
 
Huyu ni bwana mdogo mmoja hivi wa Kimanga (Mwarabu) ana pesa chafu ila ni Low-Key na Sio mshamba kama kina nanii ndio maana wengi hawamjui. Ni mmiliki wa umoja wa makumpuni lukuki ujulikanao kama "Lake Group" moja ya Kampuni zao kubwa kwa hapa Bongo ni Lake Oil, Lake Gas, AFICD(African Inland Container Depot), Gulf Premix n.k
 
Hiyo Lake Oil JPM aliwashtukiza na flow meter pamoja na mafuta ya transit yasiyofikishwa yaendako, kwa vile walikubali kosa na kulipa faini basi ni rahisi kujua kiini cha hizo US $1b! Na walivyoongelewa sana kipindi fulani hapo nyuma kwa kuwa na mkono wa mtu ndani yake sio ajabu kampuni ndogo yenye kuendeshwa na kijana mdogo kwenye nchi ndogo kiuchumi inageuka na kuwa 'multinational company' kwa miaka isiyozidi kumi tu!
 
Uzuri ngozi nyeupe zinabebana.
Sisi weusi tukipata hela kiduchu tu, tunatangaza ufalme na kutaka kunyenyekewa na ukoo mzima.
Ndugu wataenda mbali na kukupakazia umetoa kafara!!!
Ukifirisika kidogo tu, wanachekelea eti afadhali tumelingana alijiona sana na matusi mengi ya kimasikini.
Tutabaki kuwa wasindikizaji tu na kukaa vijiweni kupiga soga flan kachukua mkoko wa maana etc
Pathetic!
 
Huyu ni bwana mdogo mmoja hivi wa Kimanga (Mwarabu) ana pesa chafu ila ni Low-Key na Sio mshamba kama kina nanii ndio maana wengi hawamjui. Ni mmiliki wa umoja wa makumpuni lukuki ujulikanao kama "Lake Group" moja ya Kampuni zao kubwa kwa hapa Bongo ni Lake Oil, Lake Gas, AFICD(African Inland Container Depot), Gulf Premix n.k
Inland container Depot?? ? Zile bidhaa mafuta zilikuwa zinavuka mipaka?
 
masikini anamjua zaidi tajirii kuliko tajiri anavyomjua huyo masikini
fikra zako tu wengine wanahusudu hustle za hao matajiri as an ambition na ni njia moja wapo za kutoka we jilalie ndani halafu jifanye empty head humjui bakhressa wala mengi tuona kama utafanikiwa
mkuu goals and visions ndio kila kitu ingawaje hatuwezi kuwafikia hao kwa mwaka mmoja ila inatupa morale ya kuwork harder
 
Back
Top Bottom