Naomba kufahamu taratibu za kufuata kwenye safari ya china

ndananga

Member
Jun 1, 2017
9
4
ndugu wanajamvi
naombeni kujuzwa jinsi ya kwenda china nina passport na kaela fulan tu kuanzia hapo sijui lolote.
1.ningependa kujua kwa hapa tanzania nifanye nin
2.ni mwez gani mzuri wa kwenda china ambao bei za nauli zitakua chin
3.na ni shirika gani la ndege ambalo bei zake ziko chini
4.kwa mfano naenda kukaa kule wiki kwa makadilio niwe na kiasi gani cha pesa hasa kuanzia malazi na chakula.

nina mwaswali mengi ila ntaendelea kuuliza kutokana na masaada wenu.asanteni sana natangul iiii za shukran
 
Pitia hii thread: China: Fursa za biashara, usafiri na masoko
 
Hakuna sehem rahis kwenda kama china,,wala huhitaj mambo mengiiiiiii sema tu nafata biashara kwsha kazi
 
Back
Top Bottom