Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Jeuri ya fedha bhana!! Kijana bilionea huko Abu Dhabi ametoa ofa ya maana kwa watu wote waliokuwa kwenye Mall ya Lulu kwa muda wa dakika 30, ofa hiyo iliwataka wachukue chochote wanachotaka ndani ya muda huo. Ofa hiyo ilikuwa kwa ajili ya zawadi ya Ramadhan.
Wanawake bhana..., wakaona wapigane vikumbo kwenye nguo huku wanaume wakikimbilia kwenye vifaa vya umeme na kujibebea vitu vya maana kama TV, Jokofu, Redio nk.
Wanawake bhana..., wakaona wapigane vikumbo kwenye nguo huku wanaume wakikimbilia kwenye vifaa vya umeme na kujibebea vitu vya maana kama TV, Jokofu, Redio nk.