Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia H. Suluhu akiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mkoani Mara, ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya nchi nzima kuhakikisha takribani miti...
HUENDA wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya sasa wamebuni mbinu mpya ya kuingiza dawa hizo nchini, kutokana na udhibiti mkali uliowekwa na Serikali.
Badala ya kuingiza kete ambazo...
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka Kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Afisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu...
MOJA ya mambo muhimu ambayo katika ulimwengu wa sasa wa mawasiliano, hayakwepeki ni pamoja na matumizi ya simu za mkononi. Matumizi ya simu za mkononi yamerahisisha mambo mengi kutokana na...
Itifaki izingatiwe,
Naomba kuweka wazi msimamo wangu kiimani,naamini Mungu yupo na anatenda kazi.
Sasa najiuliza hivi,unaamka usingizini saa nane za usiku kufumbua macho unakutana na malaika...
Kwa mliofika muhimbili siku mbili hizi mtagundua kwamba kuna katizo la umeme ati sababu ya shoti iliyotokea tangu jana mchana na kulazimika maeneo mengi zikiwemo wadi kugubikwa na kiza
sanjari...
Kodi ya majengo ilikuwepo. Lakini hakuna aliyeitilia maanani. Kuanzia mwaka jana kodi imewekewa mkazo na raia wengi wameanza kuitikia. Ila, tatizo ni TRA. ukienda ofisi za Kata unapewa demand...
Habari za saa ndugy zangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na...
Hizi michezo za kamari za kichina zimewekwa kila kona za miji na zinadumaza vijana wengi kufanya kazi...........nashauri zipigwe marufuku kama viroba ili kunusuru taifa........
SweetMoment UPDATE:
Inatokea SASA! Hospitalini Mercy, Sioux City IA
WATOTO Sadia na Wilson waruhusiwa rasmi KUTOKa hospitali ya Mercy, na wanaelekea kwenye MAKAZI yao MAPYA mjini Sioux City...
Mungu anisamehe!
Kuna dada nimekuwa nikichart nae Facebook toka mwaka juzi wa huko Mwanza,msukuma. Alivyokuwa anatuma picha zake,nikajua hapa nimeokota embe chini ya mpera.
Ile anashuka tu...
```Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake, wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa kwa...
Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote...
Duniani kuna mambo mengi sana,na mengine ni mikosi!
Kuna siku nilikuwa nasafiri na gari kutoka kijiji kimoja kwenda kingine. Njiani porini nikamkuta jamaa mmoja anatembea kwa miguu kuelekea...
Scanner imegoma wakanambia haraka haraka pita kulia kuja kuangalia ime expire time!!!-Je pesa ya ticket ambayo time ime expire na ambayo haikubali kwenye scanner je inaingia mfuko gani!!???
Mke wa kada wa CCM amesema kwamba mauaji ya mme wake yalitokea majira ya saa 5 usiku akiwa yupo bafuni anaoga anasema mme wake alipigwa na kuuwawa kwa mapanga na watu wasiojulikana wenye silaha...
Habari wanajamvi,
Pamoja na kazi nzuri ya Jeshi la polisi, kuna baadhi ya matukio ambayo yananifanya nisiwe na imani katika mambo kadhaa. Leo nimepeleka chakula kwa mtuhumiwa ambaye yupo central...
Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuna mtindo fulan umezuka kwa wanawake hasa wa makamo na dada zetu sijajua hii tabia wamecopy...