Mwache mchagga aitwe mchagga

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
872
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA

Jamaa mmoja toka Kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Afisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa Meneja. Afisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake.

Kilichomshangaza Meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukahangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
 
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukahangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
Mchaga noma sana. kwenye mambo ya pesa hataki ujinga kabisa. Hapo alipiga hesabu kaona kwa siku anapaki gari lake kwa buku tu
 
Ha ha ha
 
Tanzania hatuna tatizo la parking kama Hongkong au Newyork....kwa Tanzania ukiwa na gari la 255,000,000 hawezi kosa nyumba yenye geti na kampuni ya ulinzi inayomlinda.
 
Hakuna benki inatoa mkopo kwa utaratibu huo.Km gari ilikuwa dhamana, wanahitaji tu kadi ya gari na siyo gari wala funguo
Tatizo unafikiria sana,muda mwingine acha akili irelax,vitu vingine ni kwa ajili ya kucheka tu,pasipo kujali uhalisia
 
uwe na benzi ya 255,000,000 ukose pa kulilaza ooh but an away kumbe ni story tuu
 
Back
Top Bottom