Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,015
- 2,191
Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia H. Suluhu akiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mkoani Mara, ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya nchi nzima kuhakikisha takribani miti milioni moja na nusu inapandwa ktk maeneo yao ili kutunza mazingira.