Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam wana JF, Kama mada inavyodokeza, mimi niliwahi kuajiriwa serikalini kama mwalimu wa secondary kwa muda wa miaka minne. Baada ya hapo niliomba ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza. Mara...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Vijana na watu wazima...Tafadhali jengeni nyumbani. Mijini mnaishi kwenye nyumba za kifahari sana. Kijijini ndugu/wazazi wanalala kwenye nyumba ina ma panya aibu. Ukifia mjini siku...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wakuu, Jana nilisafiri na Bus la kampuni ya Kilimanjaro kero niliyoipata sitasahau yani kumbe siti moja wanakatiwa watu wawili yani nimesumbuliwa mara subiri upewe siti nyingine mara kaa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Nimejiuliza hili swali hasa kutokana na adhabu waliyopewa Mdee na Bulaya. Adhabu hii ni kama wamepewa na wabunge wenzao huku ikipewa baraka na spika wa bunge Mh Job Ndugai. Binafsi...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Ni Mwezi umepita sasa tangu Prof kitila Mkumbo ahudhurie utiwaji saini wa mradi wa maji toka ziwa victoria kwenda mkoani Tabora. Mkataba ulisainiwa mbele ya umma wa wana Tabora viwanja vya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaliyotokea huku kwetu Kwamtogole weekend iliyopita ni haya. Shost Clara alipoona umri unakwenda hajavaa a while dress aliamua kujisogeza kanisani kwenye maombi. Kule alikutana na Joshua ambae na...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Yule kibaka aliyekamatwa na kukatwa misuli ili kupunguzwa ngumu zake amerejea tena mitaani na kuendeleea kuwaibia wakazi Wa kimara, amerejea na mbinu mpya ya kuwatumikisha vijana na kuongozana nao...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Shirika la majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco) limedhamiria kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu wa Ankara za Maji hususani waliolimbikiza madeni ya nyuma kuanzia kipindi cha mwezi mmoja...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni katika kutaka kujua kama LF hii bado inaendelea na Shughuli zake bila matatizo.Kuuliza ni njia ya kujua.
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Habarini,niulize tu wadau ukishaanzisha NGOs pesa za kuendesha NGOs unapata wapi,nina wazo zuri pesa ya kuanzisia NGOs ninazo ila uendesha sijui.Msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habarini wana jf kama mada inavojieleza, mwenye fununu na process za kupata hiyo mashine anisaidie nahitaji sana nifanyaje ili niimiliki?
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Kuna kibaka maarufu anaitwa Kundamba hapa maeneo ya Kimara mwisho na stop over, amekuwa akituibia mara kwa mara lakini Polisi wa kituo cha Kimara Mwisho wanamuogopa kumkamata wanasema ukitaka...
4 Reactions
93 Replies
13K Views
Habari wana JF Nasema humu JamiiForums naamini itawafikia wahusika maana humu kuna watu wa aina mbalimbali. Kipindi hiki serikali inasisitiza wananchi kulipa kodi ya jengo pamoja na ardhi na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani leo nimeshiba futari ya jirani. Eti mfano umepanda katika mtumbwi au jahazi au boti, au meli ukitokea Southampton UK ukielekea Miami US, ndani ukiwa upo wewe rafiki yako wa damu na raisi...
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu hizi amri kumi ( 10 ) za Mungu juu yetu sisi Wakristo na kugundua ya kwamba zile saba ( 7 ) kweli Mwenyezi Mungu aliziweka ila hizi tatu ( 3 ) lazima tu zitakuwa...
12 Reactions
172 Replies
23K Views
Na nini kifanyike...Ndio sababu kumbe tuna mlundikano wa taka hizi mitaani jamaa wa taka hawataki kuchukua hizi taka zinakuwa kero gereji,serikali Fanyeni kurahisisha namna ya kuondoa hizi taka.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu. Jamani najua mmechoka naharkati za kila siku. Lakini naomba mwenye uelewa na hii kitu inaitwa D9 maana naambiwa nitoe pesa bank nikafungue acc ya D9 niweke kuanzia 4. 7 m nakila...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Muda si punde askofu huyu kiboko ya Bashite ametua uwanja wa KIA tayari kuelekea Moshi kuhudhuria msiba wa babu yetu kipenzi Ndesa pesa. Mungu awajaalie wote walioko njiani kuhudhuria kumuaga...
9 Reactions
61 Replies
10K Views
Napenda kutoa hoja yangu hapo juu ambayo imenikwaza kwa muda sasa. Watanzania wengi hasa tuishio mijini tumekuwa tunatoa pesa nyingi kuchangia harusi za kifahari. Watu wenye uwezo wa kawaida...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…