pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Yule kibaka aliyekamatwa na kukatwa misuli ili kupunguzwa ngumu zake amerejea tena mitaani na kuendeleea kuwaibia wakazi Wa kimara, amerejea na mbinu mpya ya kuwatumikisha vijana na kuongozana nao kufanikisha udokozi wake.
Nimekutana na kijana mmoja kaniambia kundinga Wa zamani sio Wa sasa hata kama polisi wanamuogopa,
Maana zamani alikuwa anawakamta na kuwaambia waangue minazi na wanaangua pia alikuwa anaingia bar na kuifunga kibabe polisi wakija wanasanda.
Juzi kuna wamama walichukua namba za simu za polisi kimara Mwisho na kuwaambia wakimuona watapiga simu but walipopiga simu polisi wakisema hawawezi kumkamata wanamuogopa.
Naomba wakati wakimara tukimuona mtaani huyu kundinga au omary tupigiane tumkamate tumfute kama gwajima alivyomfuta bashite.
Popote ulipo kundinga ama zetu ama zako tumechoka kuibiwa kisenge senge ukitia timu mitaa ya kwa kapinga au kwa ticha tunakugawana kama sembe ya msaada.