GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu hizi amri kumi ( 10 ) za Mungu juu yetu sisi Wakristo na kugundua ya kwamba zile saba ( 7 ) kweli Mwenyezi Mungu aliziweka ila hizi tatu ( 3 ) lazima tu zitakuwa zimewekwa na Sisi Wakristo kwa kiherehere chetu na roho mbaya zetu tu zilizotukuka.
Nakataa kata kata kwamba Mwenyezi Mungu aliweka hizi amri tatu zifuatazo :
Ipo haja kwa Wakristo wenzangu kujifunza Kutafakari haya Maandiko vizuri na siyo kukubali tu kudanganywa na Watu wa hovyo hovyo ambao hawaruhusu Watu wenye akili kubwa kuhoji mambo ya msingi kama haya.
Haya mnaojua dini na maandiko yake Kindakindaki karibuni mtiririke na mserereke Kiroho zaidi.
Nakataa kata kata kwamba Mwenyezi Mungu aliweka hizi amri tatu zifuatazo :
- Usiseme Uwongo
- Usizini
- Usitamani Mwanamke / Mwanaume asiye Mke / Mume wako
- Kusema Uwongo?
- Bila Kuzini kwa kisingizio tu cha kutegemea Mbunye / Mkuyenge huo huo 24/7?
- Kutamani Demu / Mke wa Mshikaji au Buzi / Mume wa Mtu?