Mzunde
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 141
- 104
Wasalaam wakuu.
Jamani najua mmechoka naharkati za kila siku. Lakini naomba mwenye uelewa na hii kitu inaitwa D9 maana naambiwa nitoe pesa bank nikafungue acc ya D9 niweke kuanzia 4. 7 m nakila wiki nakua nawekewa usd 170 yaani kila j3. Jamani kuna ukweli wowote. Naomba kujuzwa tafadhar