Nauliza hivi Mkono Advocate ipo au?

Nauliza hivi Mkono Advocate ipo au?

Bururu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
877
Reaction score
585
Ni katika kutaka kujua kama LF hii bado inaendelea na Shughuli zake bila matatizo.Kuuliza ni njia ya kujua.
 
Nimesikia wafanyakazi hawalipwi mishahara,
 
Mkono mwenyewe sijawahi msikia kabisa, Tangu nanihili ashike mpini sijawahi mskia Mkono
 
Nimesikia wafanyakazi hawalipwi mishahara,
Yaan wafanyakazi wote pale hawalipwi mishahara na wanategemewa na familia zao.[HASHTAG]#hapakukomeshana[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom