Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Habarini,niulize tu wadau ukishaanzisha NGOs pesa za kuendesha NGOs unapata wapi,nina wazo zuri pesa ya kuanzisia NGOs ninazo ila uendesha sijui.Msaada
Poa kaka,sinatabia ya kusahau watu wanaonipa hopeMkuu nimependa wazo lako. Usinisahau kweny ufalme wako. Nataman kuwa mmoja wa watu watakaopigana ili kuhakikisha hiyo NGOs ina kuwa na nguvu, na pia kuwa na mafanikio. Tuwasiliane mkuu
Da umenifungua sana,nina wazoNGO ni Non- government Organization. Hii INA operate Tanzania bara tu mikoa yote. Cheti chake utakipata wizara ya mambo ya ndani au wizara ya ustawi Wa jamii.
Baada ya kukamilisha taratibu za katiba, miongozo ya fedha Nk unaweza kusajiliwa.
Pesa ya kuendesha NGO utaipata kutoka
1. Ada ya wanachama
2. Michango ya wanachama
3. Serikali kupitia idara ya maendeleo ya jamii
4. Wafadhili Wa ndani na nje
5. Fedha yako nk.
Kuna wataalamu Wa kuandika proposal unapoomba fedha kwa mashirika mbalimbali wanaolipwa.
Tembelea NGO iliyokarbu nawe au in pm kwa Msaada zaidi.
Kuna NGO zinazooperate kimataifa CBO hufanya wilayani tu.