Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Jamani leo nimeshiba futari ya jirani. Eti mfano umepanda katika mtumbwi au jahazi au boti, au meli ukitokea Southampton UK ukielekea Miami US, ndani ukiwa upo wewe rafiki yako wa damu na raisi wa nchi yako na mpenzi wako kila mtu ana nafasi yake husika mahala pake. Sasa ikiatokea kimbunga cha bahari mfano kama kimbunga cha jangwani na chombo chenu kikapinduka lakini wewe ni mtu pekee uliyekuwa na uwezo wa kuogelea na kumuokoa mtu mmoja muhimu, hivi ungemuokoa nani na toa sababu ipi kwa nini usimwokoe mwengine? mimi hapo kwenye red ndio mahala pake.