pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Kuna kibaka maarufu anaitwa Kundamba hapa maeneo ya Kimara mwisho na stop over, amekuwa akituibia mara kwa mara lakini Polisi wa kituo cha Kimara Mwisho wanamuogopa kumkamata wanasema ukitaka kumkamata lazima ujipange maana anatembea na visu na bisibisi.
Hii inatia doa Jeshi la Polisi na ni aibu sana kwa chombo cha ulinzi na usalama wa raia kumuogopa kibaka asiye na silaha ya Moto.
Naomba wahusika mtusaidie kumkamata huyu kibaka.
Hii inatia doa Jeshi la Polisi na ni aibu sana kwa chombo cha ulinzi na usalama wa raia kumuogopa kibaka asiye na silaha ya Moto.
Naomba wahusika mtusaidie kumkamata huyu kibaka.