Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Habari wakuu,
Jana nilisafiri na Bus la kampuni ya Kilimanjaro kero niliyoipata sitasahau yani kumbe siti moja wanakatiwa watu wawili yani nimesumbuliwa mara subiri upewe siti nyingine mara kaa hapa.
Haikutokea kwangu tu kuna mwingine naye alikuwa na beb wake akaamishwa yani ni alikuwa mpweke.
Hivi nyinyi wadada wakata tiketi za ma bus ya Kilimanjaro kwanini mnatukatia tiketi mara mbili?
Pia mtengeneze mikanda ya kujizuia na ajali..imechakaaa...
Mnakosa wateja kwa uzembe wenu..huduma zenu mbovu badilikeni.
Uongozi wa kampuni hiyo ufanye kazi hili no kero kwa abiria.
[HASHTAG]#tuwaseme[/HASHTAG]