UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Vijana na watu wazima...Tafadhali jengeni nyumbani. Mijini mnaishi kwenye nyumba za kifahari sana.
Kijijini ndugu/wazazi wanalala kwenye nyumba ina ma panya aibu.
Ukifia mjini siku unaletwa kwenu aisee aibuu. Jengeni nyumbani jamani hata kadogo lakini modern hutoki nje usiku na panga kwenda chooni.