Kumbukumbu: Faili la UHAMISHO

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,192
2,000
Salaam Mh.

Mwaka jana uliagiza kusima kwa shughuli baadhi za utumishi ikiwa ni pamoja na UHAMISHO.

Ulisema kwa mwezi mmoja au miwili mambo yataendelea.

Mkuu, leo umetimia mwaka toka usimamishe kwa mwezi.

Kwa uzi huu naomba nikukumbushe mheshimiwa wetu kuwa jaribu kutoa kauli tena ili tulioomba tujue mbivu na mbichi.

Nakuomba kwa mara nyingine tena, utolee ufafanuzi.

Wasalaamu
Mtumishi- Mwomba uhamisho 2016.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom