Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Daaah, kiukweli usaliti ni kitu kibaya sn. Sipati picha siku huyu mama akiwa anapiga makofi kuimba kale ka wimbo pendwa ka ccm, wkt majuzi tu kabla ya kupewa ilani, iliisemea mbovu ilani hiyo hiyo. Duuh..!!! Politics bana...!!