Gazeti la chama, ni reflection ya tabia zao za ukurupukaji na malezi yao.
Baada ya kumshindwa Bashite, wanyonge wamepatikana! Lazima waonyeshe vyeti.
Mle ndani mwao, 99% wanakurupuka then wakinyooshwa wanadai wameonewa.Kukurupuka tu kama Tundu Lissu. Halafu mhariri wa gazeti hili hafanyi kazi yake ipasavyo. Ingekuwa ni spelling tungewaelewa.
Taratibu utapasukaTuanze na Bashite pamoja na kaka yake au mnaonaje????????pamoja nafamilia ya bashite na ukoo mzima wa bashite au?????????
Gazeti la chama, ni reflection ya tabia zao za ukurupukaji na malezi yao.
Tukiwapa hoja za kuwarekebisha wao wanakuja na majibu ya hasira hasira.Tanzania Daima mnatia aibu bana.mnashindwaje kufanya kazi yenu kwa weledi.Nawewe mhariri wahili gazeti uoni aibu,ata wewe uliyekua unachapa hiyo taarifa ulikua unawaza nin ulipokua unaandika upupu kama huo.Badilikeni bana.
Tanzania waandishi ni vilaza na ndo maana huwa sisomi vigazeti vyao. Siku nyingine utasikia wanasema mkoa wa Bukoba, wakati mwingine utasikia mkoa wa Songea. Yaani hawa jamaa ni viazi hatari, huko ndo kuna uozo wa hatari na ndo maana kila wakati wanafia vi bahasha, for, they are "hollow heads"