mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
-Ukitaka mtu akuchukie sio tu JF hata mtaani, pinga vikali kile anachodhani ni sahihi...
-ukitaka matusi au kejeli nenda kinyume na kile ambacho wengi wanadhani ni sahihi...
- kuna jamaa ukiwapinga wanakupiga hadi ban kuwaquote hahahahaa...
-kile ambacho jamii imekubaliana bila hata kuchakata kwa ndani, ukitaka kufukuzwa hata kwenye vikao au hata kijijini leta mawazo yako yatakayoonyesha
-debate clubs za zamani zilisaidia sana maana kila aliyesimama kutetea hoja alikuwa na sababu ya kwa nini anatetea, utamaduni huu unaporomoka kwa kasi...
-povu linachukua nafasi kwa speed ya hatari
JF raha sana ....
unadhani nini chanzo,