figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Polisi mkoani Tabora wanawashikilia waganga wa jadi 27 wanaodaiwa kujihusisha na upigaji wa ramli chonganishi.
Mwandishi wa Azam TV aliyeko Tabora, Juma Kapipi, anasema hatua ni matokeo ya polisi kusaka kiganja cha mwanamke mmoja aliyeuawa wilayani Igunga ambapo wauaji walitokemea na kiungo hicho.