Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ubungo Msewe ilivamiwa muda si mrefu na majambazi milio ya risasi yasikika Hili tukio linatokea muda huu. Hawajadhuru watu ila wamepora kwenye maduka mengi na Vibanda vya kutolea pesa/kuweka...
3 Reactions
62 Replies
10K Views
Nirahisi sana kukusanya kodi kwenye malipo ya system. Budget hii 2017/ 2018 hawakuona kwamba hiki ni chanzo kizuri pia cha mapato? Wafanye kama Rwanda bhana, tuachane na mambo ya kugongewa coin...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuandika mabango yenu kwa kiingereza mnatupoteza sie tusojua hiyo lugha, tunakuwa kama tupo Ulaya wakati ni nyumbani Tz, wito kwenu serikali kuu au halmashauri tuleteeni sheria inayopiga marufuku...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hiki kipindi kwanini kipo biased kinaangazia jiji la Dar pekee wakati majiji sio Dar pekee,jirekebisheni hata sie huku majiji mengine tuna hizo news
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuendelea kutangazwa unyama unaofanyika Kibiti na Rufiji,ni kuendelea kuwapa kichwa na umaarufu makatili hao. Pia ni kuwatisha wakazi na hata wageni wanaofanya shughuli zao huko pwani,na inaleta...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Nipo hpa stand kuu nimeibiwa laptop hvi naweza kuifunga isitumike ? plz faster kabla hawajafika mbali
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada nataka niiangalie hiyo ripoti live kupita link wa web ya ikulu kwa kutumia laptop yangu sasa nifanyeje nipo mbali na tv na sitaki kupitwa na ndondo zitakaxo shushwa siku hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mtangazaji wa michezo wa kituo cha redio cha E FM Omary Katanga muda mfupi tu uliopita tena akiwa katika kipindi cha michezo ametangaza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi sasa soko la Magari linapata msukomo mkubwa kuelekea kwenye matumizi ya magari ya kisasa ambayo ni fuel economy na pia hayana effect kubwa katika mazingira. Kutokana na kukuwa kwa...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa cha habari kinavyo jionyesha,Mimi ninamuamini sana Mungu na ninaamini kila jambo linalo tokea huwa linamaana Fulani! Majuzi kati hapo nimeota nawafukuza...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mada tajwa yahusika Nafikiri wanaJF wote na Watanzania wote ni mashahidi Nchi hii yetu pendwa ya Tanzania imevamiwa na wachina kila uchochoro wapo Wakati flani nipo kwenye daladala mkoa flani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Usiku Kuna Hawa Viumbe Wanaokunywa Haya Maji Ya Ajabu Wanapiga Kelele Kama Vichaa Niwafanyaje Mana Huwa Nawafunguliaga Mbwa Lakini Hawakomi
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu..kumekua na ongezeko la mada ambazo kiukweli kwa slogan ya home of great thinker's ni aibu kuwepo..lakini kama tujuavyo shule zimefungwa watoto wanajiachia tu humu..ukakasi umejaa..masikhara...
2 Reactions
6 Replies
862 Views
Wapendwa habarini za mchana..! Ninatafuta kazi nimesoma bachelor ya Ecotourism and Nature Conservation, nimejaribu kutafuta kazi nimekwama hivyo ombi nimelileta kwenu wadau ambao wenye taarifa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
HIVI WANAJAMVI KWANINI?! IDADI YA WANYAMA NG'OMBE NI WENGI WAKATI WANAZAA MTOTO MOJA. ILA PAKA ANAZAA WATOTO SITA NA NI WACHACHE?!! LA PILI HIVI DAR KWANINI KUNA MBUZI WANAOJICHUNGA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania ya viwanda 2080 tegemeo
1 Reactions
1 Replies
568 Views
Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa. Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Nimeona mara kadhaa wakitaka waonekane kama polisi , wamejaribu hata kutumia magari yanayofanana na magari ya polisi ( DEFENDER ) , hivi wamelenga kumtisha nani ? Zipo taarifa kwamba eti nao...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
nimekuta nyumba moja wakizozona na wakusanya taka kata ya majengo wanadai efu 4000/=kila mtu kwa mwezi hata kama taka huna kwa mwaka elfu 48,000/= wameonesha barua iliotoka kwa mkurugenzi haina...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…