kodi kero manispaa ya Dodoma inaendelea

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
nimekuta nyumba moja wakizozona na wakusanya taka kata ya majengo wanadai efu 4000/=kila mtu kwa mwezi hata kama taka huna kwa mwaka elfu 48,000/= wameonesha barua iliotoka kwa mkurugenzi haina muhuri wala saini ya mkurugenzi hizo ndizo kodi kero kwa wakazi Wa manispaa
 
Ngapi tunazinywea bia fanya kama hujanywa bia mbili kwa mwezi,lakini ili mapato yasipotee inatubidi tuhoji kwanini mihuri hakuna.
 
Ni kweli na Mimi nimeshuhudia hilo Jana mida ya sana 8:00 mchana eneo la soko la Chamwino., Chang'ombe Road ambapo Wenye maduka na pharmacy wote wamefungiwa na kubandikiwa Tangazo linalosomeka Kama ifuatavyo
" PAMEFUNGWA NA MANISPAA KALIPE SERVICE LEVY USIFUNGUE"

Maafisa hao walikuwa wakali na hawakutaka maswali, na waliwaonya wafanyabiashara hao kuwa Yeyote atakayefungua AMA kubandua ilani hiyo atalazimika kulipa faini ya Tshs. 2,000,000 (Milioni Mbili)

Ni vyema Mkurugenzi wa Manispaa afuatilie Kero hiyo kwa wananchi inayosababishwa na watumishi wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom