Kuendelea kutangazwa unyama unaofanyika Kibiti na Rufiji,ni kuendelea kuwapa kichwa na umaarufu makatili hao.
Pia ni kuwatisha wakazi na hata wageni wanaofanya shughuli zao huko pwani,na inaleta athari kwa watalii,hii ni kutokana na vyombo vya habari vya kimataifa kuanza kufuatilia na kuandika mauaji haya,ambapo inawatisha na kuona Tanzania hakuna Usalama na si mahali pa kufanyia utalii.
Mheshimiwa Rais,piga marufuku kama ulivyozuia utangazaji wa mapigano ya wafugaji na wakulima Kilosa,na imesaidia kutolikuza jambo hilo.
Hakuna athari yoyote kwa jambo hili kutotangazwa,sanasana ni kuendelea kuvipa vyombo vya habari vya ndani na nje, ambavyo vimezoea kuandika mabaya kuzihusu nchi za Africa.
Kwa hali ilivyo,hii ni kama vita.ambapo mbinu moja wapo ni kuzuia adui yako kupata taarifa zako.
Ni jukumu la vyombo vya Usalama kuendelea na juhudi za kuwatafuta na kuwaangamiza maadui hawa wa Taifa Kimyakimya.