Jiji ni Dar Es Salaam peke yake, hayo mengine yanayoitwa majiji, ukweli sio majiji bali ni makao makuu ya mikoa iliyoendelea kidogo kulinganisha na mikoa mingine.Hiki kipindi kwanini kipo biased kinaangazia jiji la Dar pekee wakati majiji sio Dar pekee,jirekebisheni hata sie huku majiji mengine tuna hizo news
Hiki kipindi kwanini kipo biased kinaangazia jiji la Dar pekee wakati majiji sio Dar pekee,jirekebisheni hata sie huku majiji mengine tuna hizo news
Unawezaje kusema Tanga ni Jiji kwa mfano? Kama Tanga ni Jiji basi Dar itafutiwe jina lake.Kama ni hivyo basi wapo sahihi, !kwa hiyo huku Tanga sijui Arusha ,Mwanza na Mbeya kote ni mkoa au sio
Hahaa ila hiyo ni bias kwa sababu audience yao sio Dar tuWamekiweka purposely kwa ajili ya kuangazia kwa undani jiji la Dar es salaam kutokana na mahali kituo kilipo.Hata star tv au kituo kingine wanaweza buni kipindi kikaangazia kwa undani mahali vilipo..So wapo correct kabisa.
Hahaa ila hiyo ni bias kwa sababu audience yao sio Dar tu